Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

19 Disemba 2018

19 Disemba 2018

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anaangazia

-Usafiri wa mabasi ya abiria maarufu kama "matatu" nchini Kenya ulivyo hatari kwa afya na mazingira kwa mujibu wa UNEP

-Wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wapata faraja kwa kusaidia

-Huko kambini Kakuma nchi Kenya wakimbizi wanasema msitusahau nasi " Kakuma tuna vipaji"

-Makala leo inatupeleka Morogoro Tanzania kwa kijana mchonga vinyago anaeleza kwa nini sanaa hiyo imekuwa mtihani siku hizi

-Mashinani ni pongezi kibao kutoka kwenu wasikilizaji mkizielekeza kwa Rebecca Gyumi mshindi wa tuzo ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa

Audio Credit
UN News/Arnold Kayanda
Audio Duration
11'52"