Jiji la Dar es salaam lapendeza shukrani kwa UM
Ikiwa leo ni siku ya miji duniani, Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa imeangazia ni kwa jinsi gani chombo hiki chenye wanachama 193 kinasaidia nchi wanachama kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs hususan lengo namba 11 la miji endelevu na jamii.