Maendeleo ya viwanda Bangladesh yanatishia uwepo wa binadamu, wanyama na mimea- Mtaalamu
Bangladesh isitishe mara moja miradi yake ya viwanda kwenye msitu wa akiba wa Sundarbans ambao msitu mkubwa zaidi duniani wenye mikoko, amesema mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu na mazingira, John H. Knox.