Muundo mpya wa maendeleo wa UN kuleta nuru kwa wananchi- Guterres
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN, kwa kauli moja limepitisha azimio la kubadilisha mfumo wa utekelezaji wa shughuli za maendeleo za umoja huo.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN, kwa kauli moja limepitisha azimio la kubadilisha mfumo wa utekelezaji wa shughuli za maendeleo za umoja huo.
Kufikilia lengo la maendeleo la afya ifikapo 2030 hasa la kuwa na huduma kwa wote ni mtihani kwa nchi nyingi hususan zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Hata hivyo mchango wa wadau wote zikiwemo taasisi za dini unawaweza kusaidia kupiga hatua ya kufikia lengo hilo.
Uhamiaji barani Afrika unaweza kuchochea ukuaji wa uchumi endelevu na kuleta mabadiliko stahili ya kiuchumi kwa nchi husika iwapo kutakuwepo na mifumo bora ya kisera kuhusu uhamiaji.
Kupitia ripoti yake iliyotolewa leo, WHO inasema matumizi hayo yamepungua kutoka asilimia 27 mwaka 2000 hadi asilimia 20 mwaka 2015.Mathalani idadi ya wanaume wenye umri wa miaka 15 wanaotumia tumbaku imepungua kutoka asilimia 43 mwaka 2000 hadi asilimia 34 mwaka 2015.
Mchango wa vijana katika masuala mbalimbali ni dhahiri ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu.
Ukanda wa Sahel unakabiliwa na mashambulizi na shida za mara kwa mara ambapo nchi tano kwenye ukanda huo zimeunda kikosi cha kukabili mashambulizi kiitwacho, G5.
Tanzania imesema licha ya kupoteza askari wake kwenye operesheni za ulinzi wa amani, bado itaendelea kushiriki kwenye operesheni hizo kwani inatambua kuwa bila amani hakuna maendeleo.
Muziki ni kifaa muhimu kinacholeta mabadiliko katika jamii.Muziki unaweza ukawafikia mamilioni ya watu,na kwa kuhamasisha jamii kuhusu changamoto za kijamii, kiuchumi na kimazingira ambavyo ndivyo msingi wa maendeleo endelevu SDGs.
Na katika neno la wiki mchambuzi wetu Ken Walibora ambaye ni mwana riwaya na mwanachama wa Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA anaaelezea maana ya methali, mwenda tezi na omo arejeo ngamani.