Ujerumani yatoa dola milioni 3.69 kuchagiza operesheni za WFP Tanzania

Ujerumani yatoa dola milioni 3.69 kuchagiza operesheni za WFP Tanzania

Pakua

Harakati za shirika la mpango wa chakula duniani, WFP nchini Tanzania za kusaidia wakimbizi na wasaka hifadhi nchini humo kwa mwaka 2018-2019 zimepigiwa chepuo hii leo kufuatia msaada wa Euro milioni 3.25 kutoka serikali ya Ujerumani. 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
2'17"
Photo Credit
UNHCR/B. Loyseau