Naiacha Darfur ikiwa afadhali kuliko ilivyokuwa 2013- Jen. Mella

Naiacha Darfur ikiwa afadhali kuliko ilivyokuwa 2013- Jen. Mella

Hali katika eneo la Darfur huko Sudan ni bora kuliko ilivyokuwa miaka miwili iliyopita. Hayo ni kwa mujibu wa Luteni Jenerali Paul Ignace Mella, ambaye amehitimisha muda wake leo kama Kamanda wa vikosi vya pamoja vya Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika vya kulinda amani huko Darfur, Sudan, UNAMID.

Katika mahojiano na Idhaa hii, Jenerali Mella ametaja baadhi ya mafanikio yaliyopatikana Darfur katika kipindi alichohudumu kama Kamanda wa vikosi vya UNAMID..

(Sauti ya Jen. Mella 1)

Jen. Mella ametaja pia changamoto walizoshuhudia wakati akihudumu kama Kamanda wa UNAMID

(Sauti ya Jen. Mella 2)

Licha ya hayo, amesema...

(Sauti ya Jen. Mella 3)