Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Harakati za ukombozi zimetuibulia maadui wengi: Rais Nyusi

Harakati za ukombozi zimetuibulia maadui wengi: Rais Nyusi

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema harakati za nchi katika ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika ziliibua maadui wengi ambao sasa wanasababisha vurugu zinazoendelea hata nchini mwake.

Akihojiwa na Assumpta Massoi wa Idhaa hii baada ya kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais Nyusi amesema .

(Sauti ya Nyusi)

Na kwa hiyo ujumbe wake kwa wana Msumbiji ni kwamba..

(Sauti ya Nyusi)