Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mfumo tuliobuni utasaidia kuchagiza malengo ya maendeleo endelevu: GBC

Mfumo tuliobuni utasaidia kuchagiza malengo ya maendeleo endelevu: GBC

Programu iliyobuniwa na kampuni moja nchini Kenya kuunganisha mtandao wa wanawake Milioni Moja wajasiriamali duniani, ni moja ya fursa ya kutekeleza lengo namba nane la maendeleo endelevu la kuhakikisha ukuaji uchumi ambao ni jumuishi, shirikishi na endelevu.

Meneja mradi wa shirika la Greenbell Communications, GBC, kutoka Kenya Catherine Njau ameiambia Idhaa kuwa kupitia programu hiyo itakayopatikana kwa simu na tovuti…

(sauti ya Catherine-1)

Amesema programu hiyo inayotokana na ushirika katika kituo cha biashara duniani, ITC, Google na CI&T itaanza kupatikana mwishoni mwa mwaka huu kwa kuanza na bara la Afrika na kwamba..

(Sauti ya Catherine-2)