Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wabunge kujadili unyanyasaji wa kijinsia

UN Photo / Joao Araujo Pinto
Bendera ya mataifa wanachama ikipepea katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.

Wabunge kujadili unyanyasaji wa kijinsia

Zaidi ya wabunge 700 kutoka duniani kote wanatazamiwa kukujadiliana nanma ya kusaka majibu ya kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia .

Mkutano huo uliandaliwa na Jumuiya ya mabunge duniani unawakutanisha wabunge kutoka nchi zaidi ya 141watakao kuwa na kazi moja ya kusamba mbinu za kuwakomboa wanawake na watoto wa kike wananyanyaswa duniani kote.