Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wananchi wafurahia uwepo wa Umoja wa Mataifa

Wananchi wafurahia uwepo wa Umoja wa Mataifa

Wakati leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Umoja wa Mataifa , chombo ambacho ni kiranja wa mataifa mbalimbali 193 kote duniani, kikiongoza katika nyanja za uchumi, siasa na kijamii, kauli mbalimbali zimetolewa kuchagiza umuhimu wa umoja huo.

Wananchi wa Afrika mashariki wanazungumziaje umuhimu wa mchango wa Umoja wa Mataifa? Tuanzie nchini Kenya.