Mkuu wa UN aomba msaada zaidi kwa visiwa vidogo vinavyopambana na mabadiliko ya tabianchi
Ufadhili zaidi unahitajika kusaidia nchi zinazoendelea za visiwa vidogo SIDS, vilivyo katika mstari wa mbele wa mabadiliko ya tabianchi, amesema Jumamosi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres akiwa katika visiwa vya Saint Vincent na Grenada.