Mashambulizi yahusianayo na uchaguzi Afghanistan yachukiza-UNAMA
Umoja wa Mataifa umesema mashambulizi dhidi ya maeneo yanayohusika na masuala ya uchaguzi nchini Afghanistan yanachukiza.
Umoja wa Mataifa umesema mashambulizi dhidi ya maeneo yanayohusika na masuala ya uchaguzi nchini Afghanistan yanachukiza.
Tanzania imesema inasimamia kidete suala la uhifadhi wa misitu.
Operesheni ya kuwarejesha nyumbani wakimbizi na wasaka hifadhi waliokuwa kizuizini nchini Libya imeanza tena baada ya kusitishwa kwa miezi miwili.
Idadi ya watoto wanaokosa kunyonya maziwa ya mama bado ni kubwa hususan miongoni mwa nchi tajiri duniani umesema uchambuzi mpya uliotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.
Maendeleo na amani ya kudumu katika eneo lililoghubikwa na mizozo la Darfur nchini Sudan vitaletwa na raia wenyewe wa Darfur pamoja na serikali ya nchi hiyo.
Kukiwa na sera bora za biashara katika Jumuiya ya afrika Mashariki, basi wanawake watashamiri, na kutoa mchango mkubwa katika maendeleo na hasa ya kiuchumi kwa mataifa hayo, lakini pia wanatakuwa wamejumuishwa katika maendeleo na sio kuachwa nyuma.
Umoja wa Mataifa umetaka kuachiliwa huru kwa mwanaharakati nchini Burundi ambaye amefungwa gerezani.
Umoja wa Mataifa umetaka Uturuki iondoe hali ya dharura wakati huu ambapo wananchi wanajianda kwa uchaguzi.
Kufuatia mmiminiko wa wanaokimbia mizozo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, mashirika ya kibinadamu Uganda yanakumbana na changamoto lukuki kuwahudumai kwani wanaingia ncchini humo kunyume Zaidi na matarajio kinachopanua pengo la ufadhili.
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema linabadilisha mfumo wake wa msaada kwa wakimbizi wa Bhutan walioko Nepal katika bara la Asia. Wakimbizi hao sasa watapatiwa pesa taslim badala ya kupewa chakula moja kwa moja.