Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

29 APRILI 2020

29 APRILI 2020

Pakua

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

-Mashirika ya Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF na la mpango wa chakula WFP yataka serikali kuchukua hatua kuepusha janga la njaa hasa baada ya watoto milioni 370 kukosa mlo shuleni kutokana na janga la virusi vya corona au COVID-19

-Kambini Dadaab nchini Kenya waalimu watumia Radio kutoa elimu kwa maelfu ya watoto waliolazimika kusalia nyumbani kutokana na janga la corona

-Nchini Sudan Kusini watoto wapiganaji wa zamani wapata stadi kupitia mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNMISS kujikwamua kimaisha na kusaidia wenzao

-Makala leo inatupeleka Tanzania kukutana na binti msomi mwenye shahada ya uzamili ambaye aliamua kuwa mjasiruiamali wa upinsi wa makande

-Na mashinani tuko Benin gwiji la muziki duniani Angelique Kidjo anatoa ujumbe kuhusu kujikinga na Corona.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
11'40"