UNMISS

Tuko pamoja na serikali ya Sudan Kusini katika vita dhidi ya COVID-19:UN

Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza hatua mpya katika kusaidia juhudi zinazoongozwa na serikali ya Sudan kusini katika kuzuia na kujiandaa na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19. Grace Kaneiy ana ripoti kamili.

Sauti -
1'46"

19 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Licha ya kutokuwa na mgonjwa hata mmoja wa COVID-19 serikali ya Uganda imefunga shule zote hadi vyuo vikuu katika maandalizi ya kupambana na mlipuko endapo utazuka ugonjwa huo

Sauti -
12'32"

UN yachukua hatua kusaidia maandalizi ya vita dhidi ya COVID-19 Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza hatua mpya katika kusaidia juhudi zinazoongozwa na serikali ya Sudan kusini katika kuzuia na kujiandaa na mlipuko wa virusi vya Corona, COVID-19.

Mafunzo ya kutatua mizozo yaendeshwa na UNMISS huko Sudan Kunsini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'18"

28 JANUARI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
10'56"

UNMISS na serikali Sudan Kusini wakabiliana na wizi wa mifugo

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kuisni, UNMISS kwa kushirikiana na mamlaka nchini humo katika juhudi za pamoja wamezindua kampeni ya kuchagiza amani wakilenga wamiliki wa mifugo waliojihami katika kambi katika baadhi ya maeneo.

UNMISS yasema mahitaji ya upinzani yatatimizwa Lirangu Sudan Kusini

Mahitaji ya jeshi la ukombozi la watu wa Sudan au SPLA-iO yameanzwa kutimizwa katika eneo la Lirangu linalodhibitiwa na upinzani nchini Sudan Kusini kwa mujibu wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo

Sauti -
3'1"

10 JANUARI 2020

Flora Nducha wa UN News Kiswahili anatupa habari zifuatazo:

-Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonya yaliyojiri baina ya Walendu na Wahema DRC huenda ukawa uhalifu dhidi ya ubinadamu 

Sauti -
10'37"

Mahitaji ya upinzani yatatimizwa Lirangu Sudan Kusini:UNMISS

Mahitaji ya jeshi la ukombozi la watu wa Sudan au SPLA-iO yameanzwa kutimizwa katika eneo la Lirangu linalodhibitiwa na upinzani nchini Sudan Kusini kwa mujibu wa mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo UNMISS

Watahiniwa wasaidiwa na UNMISS kufika katika vyumba vyao vya mtihani Sudan Kusini

Wanafunzi kote nchini Sudan Kusini wakiwemo wale wanaoishi katika vituo vya Umoja wa Usalama vya kuwahakikishia raia usalama, wanafanya mitihani ya mwisho wa mwaka ambapo mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'13"