Tanzania

16 Julai 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

-Jukwaa la ngazi ya juu la ngazi ya mawaziri kuhusu tathimini ya SDGs na UN inasema bila usawa na ujumuishi ni mtihani kufikia malengo hayo

Sauti -
12'27"

15 Julai 2019

Miongoni mwa yale anayokuletea assumpta Massoi katika Jarida letu la Habari leo ni pamoja na 

-Kisa kipya cha Ebola chaibuka Goma DRC , shirika la afya WHO na serikali wanafanya kila njia kuzuia kusambaa kwa mlipuko huo

Sauti -
12'15"

Tunachangia sana walinzi wa amani na sasa tutaongeza idadi ya wanawake- Luteni Jenerali Yacoub Mohamed JWTZ

Mkutano wa nchi zinazochangia vikosi vya ulinzi wa amani, TCCF, umekunja jamvi katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Mjini New York Marekani

Malengo ya maendeleo endelevu na utekelezaji wake Tanzania

Utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDG’s unajadiliwa kwenye jukwaa la kisiasa la ngazi ya juu au HLPF hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa.

Sauti -
5'40"

Utekelezaji wa SDGs nchini Tanzania

Utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDG’s unajadiliwa kwenye jukwaa la kisiasa la ngazi ya juu au HLPF hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa.  Mkutano huu wa kila mwaka umewaleta pamoja wadau mbalimbali wakiwemo wawakilishi wa serikali, asasi za kiraia na pia vijana ambao mchango wao umeelezwa na Umoja wa Mataifa kuwa ni muhimu katika kutimiza malengo hayo.

Jarida la Habari la Julai 12, 2019

Jaridani leo Julai 12, 2019 na Arnold Kayanda

Leo Habari kwa ufupi kuanzia, ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ANtonio Guterres nchini Msumbiji alikokutana na makundi mbali mbali ya watu na maisha baada ya vimbunga viwili kupiga nchi hiyo.

Sauti -
10'16"

Wanawake viongozi Tanzania ni viongozi bora:Waziri Ummy

Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika harakati za ukombozi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali iikiwemo kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Flora Nducha na tarifa zaidi

Sauti -
1'46"

01 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Flora Nducha anakuletea

-Ongezeko la joto kuwa kikwazo kikubwa katika utendaji kazi ifikapo mwaka 2030 laonya leo shirika la kazi Duniani ILO.

Sauti -
12'25"

Vituo vya kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya ni msaada mkubwa

Hii leo ikiwa ni siku ya kupiga vita matumizi ya madawa ya kulevya duniani, vituo vya kusaidia waathirika wa madawa hayo vimekuwa msaada mkubwa wakati huu ambapo Umoja wa Mataifa unasema ya kwamba watu milioni 35 ulimwenguni kote wana matatizo yatokanayo na matumizi ya madawa hayo ilhali ni mtu 1

Sauti -
6'5"

28 Juni 2019

Ijumaa kama kawaida tuna muhtasari wa habari na kubwa zaidi ni mauaji ya watu 117 huko Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kufuatia mapigano kati ya kabila la walendu na wahema, mauaji hayo ni kati ya tarehe 10 na 13 mwezi huu wa Juni.

Sauti -
9'57"