Ban abughudhiwa na kuzuka upya mapigano ya Nagorno-Karabakh.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anabughudhiwa na taarifa za hivi karibuni za uvunjaji wa kiwango kikubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika ukanda ukanda wa machafuko wa Nagorno-Karabakh.