Umuhimu na thamani ya mwanamke wa Kijijini
Wiki hii kwenye Umoja wa Mataifa kunafanyika kongamano ambalo linajumuisha wanawake kutoka kila pembe kujadili umuhimu na thamani ya kila mwanamke kijijini.
Wiki hii kwenye Umoja wa Mataifa kunafanyika kongamano ambalo linajumuisha wanawake kutoka kila pembe kujadili umuhimu na thamani ya kila mwanamke kijijini.
Kamishna ya Umoja wa Mataifa inayohusika na masuala ya uchumi kwa kanda ya afrika, imehitimisha mkutano wake wa 16 jijini Dar es salaam ambako imesisitiza haja ya kuimarisha sekta ya madini kwa ajili ya kukuza maendeleo barani humo.
(SAUTI GEORGE NJOGOPA)
Kamishna ya Umoja inayohusika na masuala ya uchumi kwa kanda ya Afrika, imeanza mkutano wake 16 jijini Dar es salaam ikiwakutanisha wataalamu wa maendeleo na sekta ya nishati na madini ili kujadilia mipango ya kusukuma mbele ustawi wa bara hilo. George Njogopa na taarifa zaidi.
UM ukiadhimisha siku ya Radio duniani hii leo watu kutoka Afrika wametoa maoni kuhusu umuhimu wa Radio, ikiwemo Radio ya Umoja wa Mataifa. Mwandishi wetu kutoka Tanzania alipata kuzungumza na watu mbali mbali waliotoa maoni tofauti tofauti kuhusu umuhimu wa radio ya Umoja
Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga amesema Alhamisi kuwa amefurahi sana kufanikiwa kuhamisha ofisi yake kutoka mjini Nairobi Kenya na kuiweka mjini Moghadishu Somalia.
Tanzania imewasilisha ombi la kuongeza eneo la maili 150 hadi 200 za eneo lililo chini ya udhibiti wake kwenye bahari ya Hindi.
Nchi saba zitumiazo maji ya mto Nile, miaka michache iliyopita zilianzisha mkataba mpya unaotaka kuwepo kwa uwiano sawa wa matumizi ya maji ya mto Nile.
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhamiaji Shirika la kimataifa uhamiaji IOM linasema kwamba ukosefu wa huduma za matibabu kwa wahamiaji ni jambo ya kutisha na ina inahitaji kushughulikiwa kwa dharura . Jumbe Omari Jumbe wa shirika la IOM anafafanua amezungumza na Radio ya U
Ni bayana kwamba watu walemavu huwa wanapitia chamgomoto nyingi za kimaisha zikiwemo umaskini, ajira, ndoa na kusafiri kutoka eneo moja hali lingine.
Katika siku ya ukimwi duniani wito umetolewa kwa kila mtu kubeba jukumu la kujilinda na kuwalinda wengine na maambukizi mapya ya ukimwi.