Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wananchi wana imani na SDGs

Wananchi wana imani na SDGs

Kufuatia kupitishwa kwa ajenda ya maendeleo endelevu SDGs katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, baadhi ya wananchi kutoka ukanda wa Afrika Mashariki wanasema wana matumaini kuwa ajenda 2030 itainua ustawi wa jamii.

Wakiongea katika mahojiano na Humprey Mgonja wa redio washirika SAUT ya Mwanza Tanzania wananchi hao wanasema..

(SAUTI WANANCHI)