Atoroka kuepuka ndoa ya lazima na utotoni

Atoroka kuepuka ndoa ya lazima na utotoni

Ndoa za utotoni na zile za kulazimishwa ni miongoni mwa changomoto kubwa katika jamii ya Afrika hususani maeneo yenye mizozo. Licha ya athari za kisaikolojia mimba za utotoni na mapema husababisha madhara ya kiafya pia.

John Kibego kutoka Uganda anasimulia mkasa wa binti aliyeolewa kwa kulazimishwa kutoka Sudan Kusini na kulazimika kukmbia. Ungana naye.