Walemavu wa Macho kutoka Mali watoa ujumbe wa kutia moyo

10 Julai 2015

Kwa wale ambao hawana ulemavu wa macho, ni vigumu kuelewa na kufikiria, ni jinsi gani mtu mwenye ulemavu kama huo anaweza kuendeleza maisha yake ya kila siku, akiwa hawezi kuona.

Lakini kwa wapenzi hawa wawili kutoka Mali, maarufu duniani kwa muziki wao, hilo sio tatizo, kwani ulemavu huo na vipaji vyao ndio uliowaleta pamoja, na hata kuwapa maisha yenye mafanikio makubwa, na umaarufu duniani kote.

Basi ungana na Amina Hassan katika makala hii inayohadithia maisha ya wapenzi hawa..

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter