Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Madhila yawakumba raia wa Sudan Kusini kufuatia machafuko

Madhila yawakumba raia wa Sudan Kusini kufuatia machafuko

Wakati hali ya sintofahamu ikiendelea kutajwa nchini Sudna Kusini , inaelezwa kuwa raia ndio wanaoathirika zaidi lakini watoto kwao hali ni tete kwani wanapatwa na magonjw aya milipuko huku wakikabiliana na chnagamoto za ukosefu wa huduma muhimukamamalazi bora, chakula na mengineyo.

 Hali hiyo pia huathiri wanawake na wanaume wakati huu ambapo inaelezwa hali ya machahafuko bado inaendelea. Joseph Msamai anaangazia hali ilivyo nchini humo katika ripoti ifuatayo.