Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa IGAD wakoleza juhudi za Somalia za ujenzi wa taifa

Mkutano wa IGAD wakoleza juhudi za Somalia za ujenzi wa taifa

Mkutano wa jumuiya ya maendeleo ya nchi za pemebezoni mwa Afrika IGAD umefanyika nchini Somalia na kuwakutanisha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizo. Mkutano huu umeleta mwanga katika juhudi za Somalia za ujenzi wa taifa hilo ambalo klwa takribani miongo miwili sasa limekubwa na machafuko.

Ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.