Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwanasoka wa kike Marta Da Silva ahamasisha vipaji kwa maendeleo Afrika

Mwanasoka wa kike Marta Da Silva. Picha: UNDP

Mwanasoka wa kike Marta Da Silva ahamasisha vipaji kwa maendeleo Afrika

Katika kufanikisha ukuzaji wa vipaji unaotoa matokeo chanya ya ustawi wa jamii watu mashuhuri hutumiwa ili kuving’amua na kisha vitumike kwa manufaa ya jamii husika.

Kufahamu namna mpango wa maendeleo wa Umoja wa Mataifa UNDP unavyotumia mabalozi wake katika kufanikisha mipango hiyo ungana na Joshua Mmali katika makala ifuatayo.