Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wananchi Uganda wasema Umoja wa Mataifa ni chombo muhimu

Bendera ya Umoja wa Mataifa/Picha na Maktaba

Wananchi Uganda wasema Umoja wa Mataifa ni chombo muhimu

Wakati Umoja wa Mataifa ukiadhimisha siku yake October 24 kila mwaka, wananchi nchiniUgandawanatizama chombo hicho cha kimataifakamamsaada mkubwa katika ngazi ya mataifa ambapo wanasema licha ya kusaidia kulinda amani ya ulimwengu Umoja wa Mataifa umekuwa mstari wa mbele katika misaada ya chakula.

Wakizungumza na John Kibego wa radio washirika Spice Fm ya nchini Uganda wanasema

(MAHOJIANO)