Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Raia wa Somalia waishio Ughaibuni waanza kurejea nyumbani!

Raia wa Somalia waishio Ughaibuni waanza kurejea nyumbani!

Wakati ujenzi wa taifa la Somalia ukishika kasi , raia wazawa nchini humo wameamua kurejea nyumbani wakati huu ambapo usalama unatajwa kuimarika katika taifa hilo ambalo limetatizika kwa machafuko kwa muda mrefu sasa.

Nini kinachowafanya raia hao waliokuw aughaibuni kurejea makwao? Ungana an Joseph Msami katika ripoti inayofafanua zaidi