Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Lazima kuwe na fedha za kuwezesha wanawake: Halima Mdee

Lazima kuwe na fedha za kuwezesha wanawake: Halima Mdee

Uwekezaji kifedha, uwajibikaji mujarabu wa wanawake ni moja ya mambo ambayo yakitekelezwa kikamilifu wanawake na wasichana wanaweza kupiga hatua katika nyanja mbalimbali.

Katika mahojiano maalum na Joseph Msami mjini New York, mwakilishi wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Halima Mdee katika mkutano wa 59 wa Kamisheni ya hali ya wanawake anasema uwezeshaji kwa wanawake unawezekana ikiwa kutakuwa na utashi wa kisiasa. Kwanza anaanza kwa kueleza hatua zilizofikiwa tangu mkutano wa Beijing miaka 20 iliyopita.

(SAUTI HALIMA)