Wananchi Uganda wasema Umoja wa Mataifa ni chombo muhimu
Wakati Umoja wa Mataifa ukiadhimisha siku yake October 24 kila mwaka, wananchi nchiniUgandawanatizama chombo hicho cha kimataifakamamsaada mkubwa katika ngazi ya mataifa ambapo wanasema licha ya kusaidia kulinda amani ya ulimwengu Umoja wa Mataifa umekuwa mstari wa mbele katika misaada ya chakula.
Wakizungumza na John Kibego wa radio washirika Spice Fm ya nchini Uganda wanasema
(MAHOJIANO)