Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yapambana na ukeketaji na unyafunzi

UN Photo/Eskinder Debebe)
Angelique Kidjo, Balozi mwema wa UNICEF.  Picha:

UNICEF yapambana na ukeketaji na unyafunzi

Ukeketaji ni sehemu ya ukatili wa kijinsia unaotekelezwa barani Afrika. Kitendo hiki pia ni uvunjifu wa haki za binadamu na kutokana na hilo Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limejikita katika kampeni dhidi ya jambo hilo hatarishi kwa maisha ya mwanamke na wasichana.

Kadhalika UNICEF inahamasisha na kuchukua hatua mujarabuka katika kutokomeza utapiamlo uliokithiri yaani unyafunzi. Katika kutekeleza hili balozi mwema wa UNICEF mwanamuziki Anjelique Kidjo amekuwa kinara.

Basi ungana na Joseph Msami katika makala ifuatayo.