Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uharibifu wa misitu ni jinamizi linaloiandama Uganda

Uharibifu wa misitu ni jinamizi linaloiandama Uganda

Uharibifu wa misitu unasalia kuwa changamoto kubwa katika juhudi za kulinda mazingira kwani watu hukata miti kiholela na hivyo kuhatarisha maisha sio tu ya wanyama bali pia ya binadamu kwa ujumla.

Uganda ni mojawapo ya nchi ambayo inakabiliana na changamoto hii.

Je ni kwa kiasi gani? Katika kuelewa kuhusu changamoto zinazotokana na uharibufu wa misitu Magharibi mwa Uganda John Kibego wa Radio Washirika ya Spice FM, nchin humo ameandaa makala ifuatayo,ungana naye.