Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Unyonyeshaji watoto na Ukimwi Afrika Kusini

Picha@UNICEF

Unyonyeshaji watoto na Ukimwi Afrika Kusini

Dunia ikiendelea kuadhimisha wiki ya kimataifa ya unyonyeshaji watoto maziwa ya mama, Afrika Kusini imefanikiwa kubadilisha jinsi ya kuhudumia akina mama walioathiriwa na virusi vya ukimwi kwa kuwashauri kunyonyesha watoto wao, kama njia bora ya kutunza afya zao.

Je sera hiyo mpya imeleta mafanikio? Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.