Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tafsiri mpya ya uanaume inahitajika ili kuokoa mwanamke: Kampeni

UN Photo/Eskinder Debebe)
Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon wakati wa kampeni ya #HeforShe @

Tafsiri mpya ya uanaume inahitajika ili kuokoa mwanamke: Kampeni

Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana unachukua sura mpya kila uchao duniani kote na harakati za kuondokana na vitendo hivyo vya kidhalimu zinaendelea kuchukuliwa ili kundi hilo liweze kuishi maisha ya staha. Kampeni zinachukua sura mpya ili kwenda na wakati na miongoni ni ile ya kuangalia upya tafsiri ya neno uanaume kwani kwingineko uanaume ni kumfanya mwanamke awe dhalili. Je kampeni hiyo inafanya nini? Basi ungana na Assumpta Massoi kwenye makala