Wanaojidai ni wanamgambo wa kiislamu wanapotosha uislamu: Mjadala

Sheikh Abdullah Bin Bayyah (Kulia), Rais wa jukwaa la kuendelea amani miongoni mwa jamii za kiislamu akiwa na Waziri wa masuala ya dini kutoka Mali Anadou Diallo (kushoto) wakati wakizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha ngazi ya juu kilichojadili masuala ya ugaidi. (Picha: UN /Amanda Voisard)