Madai 37 ya ukatili na unyanyasaji wa kingono dhidi ya UN yawasilishwa robo ya kwanza ya mwaka huu pekee
Ripoti mpya kuhusu ukatili na unyanyasaji wa kingono kwenye Umoja wa Mataifa imetolewa hii leo ikionyesha kuwa chombo hicho katika robo ya kwanza ya mwezi huu kimepokea madai 37 ya vitendo hivyo.