Skip to main content

Matukio muhimu ya mwaka 2016

Matukio muhimu ya mwaka 2016

Jarida letu la leo linaangazia matukio muhimu yaliyojiri kwa mwaka huu wa 2016 huku pia tukipata fursa ya kuangazia matumaini katika mwaka mpya wa 2017.  Katika kuangazia matukio mablimbali ya mwaka 2016. Idhaa ya Kiswahili imezungumza na viongozi mbali mbali katika Umoja wa Mataifa na nje na pia kupata maoni ya wasikilizaji wetu na pia washirika. Pata undani wa habari za matukio ya mwaka 2016 likiletwa kwako na Joseph Msami.