Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ongezeko la watu mijini ni changamoto Afrika:UN-HABITAT

Ongezeko la watu mijini ni changamoto Afrika:UN-HABITAT

Ongezeko la watu wanaohama maeneo ya vijijini kuelekea mijini ni changamoto kubwa katika nchi zinazoendelea hususani Afrika hasa katika kukidhi mahitaji kwa wahamiaji hao. Hayo yamejadiliwa katika mkutano wa tatu wa kimataifa kuhusu makazi na maendeleo unaondelea mjini Quito Ecuador.

Joshua Mulandi Mavit ni mmoja wa washiriki wa mkutano huo na anafanya kazi na shirika la UN-HABITAT kwenye mradi wa kuboresha makazi ya mitaa ya mabanda.

(SAUTI YA JOSHUA)

Joshua anaeleza matarajio yake katika mkutano huo

(SAUTI YA JOSHUA)