Wasikilizaji wazungumzia umuhimu wa redio ya Umoja wa Mataifa

12 Februari 2016

Kuelekea kilele cha siku ya radio duniani na miaka 70 ya radio ya Umoja wa Mataifa Jumamosi tarehe 13 Februari, wasikilizaji wa Radio hii kutoka maeneo mbalimbali wamezungumzia umuhimu wa redio ya Umoja wa Mataifa.

Katika mahojiano na Philemon Rupia wa redio washirika Wapo redio Fm iliyoko Dar Es salaam na Ali Kombo wa redio washirika Micheweni iliyoko Zanzibar wanasema.

(VOX POP)

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud