Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usalama na amani vyaimarishwa Somalia

Usalama na amani vyaimarishwa Somalia

Somalia, nchi inayozidi kuimarika katika nyanja mbalimbali ikiwamo usalama na hata ustawi wa kiuchumi na kijamii. Nchi hii ambayo imeshuhudia machafuko kwa miongo miwili, hivi karibuni ilifanya hafla maalum ya mabadilishano ya kikosi cha ulinzi wa amani kutoka Uganda.

Joseph Msami amefuatilia tukio hilo na kutuandalia makala ifuatayo.