Uganda yaanza kujifunza Kiswahili kwa kasi
Kiswahili lugha adhimu, ni usemi utumikao kuhamasisha watu kujifunza lugha hii ambayo ina historia ndefu ya mshikamano na umoja kwa baadhi ya mataifa barani Afrika.
Lugha hii sasa inapata msukumo zaidi baada ya kuundwa upya kwa jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo John Kibego kutoka Uganda anatupasha.