Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwanga wa jua waleta nuru kwa walemavu wa uziwi Zimbabwe.

Mwanga wa jua waleta nuru kwa walemavu wa uziwi Zimbabwe.

Hebu fikiria maisha bila kusikia! Hii ni hali ambayo huwakumba mamilioni ya watu wengi barani Afrika. Nchini Zimbabwe ulemavu wa kusikia au uziwi unakabiliwa kwa kutumia mwanga wa jua na kuleta nuru husuani kwa watoto.

Basi ungana na Assumpta Massoi katika makala inayoangazia makabiliano dhidi ya ulemavu wa kusikia nchini Zimbabwe.