Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana kushirikishwa katika kuleta mabadiliko siku ya idadi ya watu:UNFPA Tanzania

Wanariadha wa Tanzania. Picha: UNFPA

Vijana kushirikishwa katika kuleta mabadiliko siku ya idadi ya watu:UNFPA Tanzania

Kuelekea siku ya kimataifa ya idadi ya watu November 18 imeelezwa kuwa vijana wakiwezeshwa na kujumuishwa  katika uzalishaji wanaweza kuchangia katika pato la nchi.

Katika mahojiano na afisa mawasiliano wa mfuko wa idadi ya watu nchini  Tanzania UNFPA , Sawiche Wamunza,  afisa wa idadi ya watu na maendeleo Samweli Msokwa amesema UNFPA itaadhimisha siku hiyo kwa kuandaa mjadala utakaonufaisha vijana, kulingana na kauli mbiu ya mwaka huu inayozungumzia nguvu ya vijana katika kubadilisha dunia.

(SAUTI SAMWELI)

Mahojiano kamili yatapatikana katika ukurasa wetu.