Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chanjo siri kubwa ya mafanikio uhai wa mtoto Tanzania: UNICEF

Mtoto akipewa chanjo. Photo © UNICEF Burundi/Krzysiek

Chanjo siri kubwa ya mafanikio uhai wa mtoto Tanzania: UNICEF

Tukiwa katika muktadha huo wa siku ya Umoja wa Mataifa, Tanzania imetimiza lengo namba nne la maendeleo ya milenia la uhai wa watoto  ikiwa ni sehemu ya mipango ya Umoja huo ya kimaendeleo. Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa nchi hiyo imefanikiwa kabla ya ukomo wa malengo hayo mwakani ambapo chanjo ni sehemu kubwa ya mafanikio.

Katika mahojiano na idhaa hii Mtaalamu wa chanjo wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Dk Pamphil Silayo  anasema fursa katika mafanikio hayo ni..

(SAUTI DK SILAYO)

Ilikupata mafaniko zaidi kwa kuwezesha uhai wa watoto nchini Tanzania Dk Silayo anashauri..

(SAUTI DK SILAYO)