Kilimo endelevu silaha ya kutokomeza njaa na kuhifadhi mazingira:Tanzania
Wakati siku zikiyoyoma kuelekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia, Tanzania iko kwenye kasi ya kuboresha kilimo chake ili kisaidia kutokomeza njaa, umasikini huku kikihifadhi mazingira.
Dkt. Benilith Mahenge amesema hayo katika mahojiano maalum na idhaa hii.
(Sauti ya Dkt. Mahenge)
Kuhusu biashara ya hewa ya ukaa ambayo sasa imedorora, Dkt. Mahenge amesema sababu ni kutokuwepo kwa mkataba wa kimataifa wa kusimamia biashara hiyo kwa sasa.
(Sauti ya Dkt. Mahenga)
Mahojiano kamili yatapatikana kwenye tovuti yetu.