Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Harakati za kukabiliana na Ebola nchini Cote d'Ivoire

Elimu kwa umma kupitia redio kuhusu ebola nchini Cote D'Ivoire.(Picha ya UNICEF ya video)

Harakati za kukabiliana na Ebola nchini Cote d'Ivoire

Wakati dunia ikiendelea kupambana na mlipuko wa Ebola huko Afrika Magharibi, muelimishaji mmoja wa jamii anafanya kila awezalo ili kuzuia watu nchini cote d'ivoire wasiambukizwe Ebola.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani,WHO, kufikia wiki jana idadi ya walioambukizwa Ebola imefikia watu 8033 huku watu wengine 3879 wakifariki. ungana na Abdullahi Boru katika makala hii.