Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Upimaji wa hiari ni muhimu katika kutokomeza Ukimwi

UN Photo/Albert Gonzalez Farran
Picha:

Upimaji wa hiari ni muhimu katika kutokomeza Ukimwi

Wakati malengo ya maendeleo ya milenia yakifikia ukomo mwisho wa mwaka kesho, malengo yote manane ikiwamo lengo namba sita la kutokomeza magonjwa mathalani ukimwi na malaria na magonjwa mengine.

Kuhusu ugonjwa hatari la Ukimwi elimu bado inahitajika hususani ni vijana ambao wengi wao hawajitokezi kupima kwa hiari. Ungana na Mansoor Jumanne wa radio washirika SAUT ya Mwanza Tanzania anayeangazia upimaji wa hiari kwa vijana.