Ethiopia imepiga hatua kwenye lengo la nne la maendeleo ya milenia

22 Agosti 2014

Lengo la maendeleo la milenia nambari nne ni kupunguza kwa theluthi mbili vifo vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, ifikapo 2015.

Tayari, duniani kote takwimu zinaonyesha kuwa vifo vya watoto vimepungua kwa asilimia 50. Barani Afrika, licha ya changamoto nyingi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu kwa kasi, baadhi za nchi ikiwemo Ethiopia zimejitahidi sana.

Je zimefanyaje?  Ungana na Priscilla Lecomte kwenye makala hii.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud