Ajabu jimbo moja la Syria linadhibitiwa na magaidi- Ripoti
Ripoti ya 17 kuhusu hali ya kibinadamu nchini Syria imesema licha ya kupungua kwa chuki nchini humo, bado ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na sheria vimeendelea kusababisha machungu kwa raia.