Tunasaka misaada endelevu badala ya dharura pekee- UNHCR
Wakimbizi wanapowasili ugenini huduma ya kwanza ni mahitaji ya dharura kama vile maji, huduma za afya na malazi kinachofuatia ni huduma za baadaye na endelevu. Mahitaji kama vile stadi za kazi na hata ajira.