Huduma za posta kwenda sambamba na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano: Profesa Tibaijuka
Kongamano la 25 la Shirika la kimataifa la posta, UPU limefanyika Doha, Qatar kuanzia tarehe 7-11 Oktoba mwaka huu ambapo pamoja na mambo mengine nchi 192 wanachama wa shirika hilo waliangalia nafasi ya huduma za posta duniani kwenye maendeleo ya sasa ya teknolojia ya mawasiliano na kumulikia has