Vijana kwenye mstari wa mbele wa kutaka watambuliwe kama watu wenye manufaa kwenye jamii
Huku mamilioni ya vijana wakiwa hawana ajira kote duniani baadhi yao wameamua kwamba ni vyema wajitokeze, wajionyesha na kujitambusha kwenye sekta mbali mbali duniani angalau kutambuliwa kama walio wenye manufaa makubwa kwa jamii.