Tuzo ya Nobel ya mwaka 2020 yaenda kwa WFP
Kamati ya tuzo ya amani ya Nobel yenye makao yake nchini Norway leo imelitangaza shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP kuwa ndio mshini wa tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka huuu wa 2020. Anold Kayanda na taarifa zaidi.